Hairuhusiwi kuiga, kunakili wala kurudufisha makala zinazoandikwa kwenye blogu hii bila idhini ya wamiliki wake. Hata hivyo, kwa idhini ya maandishi, vifungu vifupivifupi vya makala hizi vinaweza kunukuliwa, mradi tu mnukuzi anataja wazi pale anapofanya hivyo.
Ombi kwa wasomaji: Tutafurahi sana kupata maoni au ushauri wa msomaji baada ya
kusoma kila mada iliyoandikwa kwenye blogu/tovuti hii. Basi, tunawatakia
wasomaji wetu usomaji wenye amani na furaha. Yaani, usomaji wenye tija.
Tafadhali pia zingatia haya:
Tafadhali pia zingatia haya:
- Blogu yetu haipokei au kuunga mkono mada ambazo, kwa wazi au kwa siri, zina vipengele vya ponografia, uchochezi, au kuchafua majina ya watu wengine.
- Mada zenye ladha au mwelekeo wa misimamo mikali ya kidini hazikubaliki kwenye blogu yetu.
- Mada zinazotumwa kwenye blogu yetu sharti ziwe hazijaandikwa tena mahali pengine. Pia zisiwe zimenukuliwa toka kwenye maandiko ya watu wengine.
- Hakuna mirabaha itakayolipwa kwa wale watakaotuma mada au kitu kingine chochote kwenye blogu yetu.
- Mada zote zitakazotumwa kwenye blogu yetu sharti zikidhi vigezo vya ubora unaotakiwa.
- Idhini maalumu ya kimaandishi toka kwa wamiliki wa blogu hii sharti itolewe kabla mada yoyote haijaandikwa kwenye blogu yetu.
- Mada zitakazotumwa kwenye blogu yetu hazitakiwi kuwa na ubaguzi wa kijinsia, kisiasa, au wa kitabaka.
- Mwishoni mwa kila kitu kitakachoonekana kwenye blogu yetu pamewekwa nafasi tupu ambamo wasomaji wa mada zetu wanatazamiwa kuweka itikio, maoni, au ushauri wao. Lengo la kufanya hivyo ni kuwezesha blogu yetu kuboreka au kuwa nzuri zaidi kwa wasomaji wetu.
0 comments:
Post a Comment